Kālidāsa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
File
Mstari 1:
[[File:Kalidas.jpg|thumb|upright=1.1|]]
 
'''Kālidās''' ([[Kidevanāgarī]]: कालिदास) alikuwa mwandishi nchini Uhindi. Aliishi mnamo mwaka 400 katika [[milki ya Gupta]] akatumia lugha ya [[Kisanskrit]] akitazamiwa kama mshairi mkuu wa lugha hiyo.