Nebula ya Kaa : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Nebula ya Kaa''' (ing. Crab Nebula, inajulikana pia kwa majina kama M1, NGC 1952 au Taurus A) ni nebula katika kundinyota ya Ng'ombe...' |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:The Crab Nebula M1 Goran Nilsson & The Liverpool Telescope.jpg|thumb|Nebula ya Kaa]]
'''Nebula ya Kaa''' (ing. Crab Nebula, inajulikana pia kwa majina kama M1, NGC 1952 au Taurus A) ni nebula katika [[Ng'ombe (kundinyota)|kundinyota ya Ng'ombe]]. Ni wingu la mabaki ya [[nyota nova]] iliyolipuka. Mlipuko wa nova ulitazamiwa kwenye mwaka [[1054]] na kurekodiwa na wanaastronomia Wachina walioona "nyota mpya" iliyoonekana angani wakati wa mchana. Ni kiolwa cha angani cha kwanza kilichoweza kutambuliwa kuwa na asili katika mlipuko wa nyota.▼
[[Picha:M1rosse.jpg|thumb|Nebula ya Kaa jinsi ilivyochorwa karne ya 19]]
▲'''Nebula ya Kaa''' (ing. ''Crab Nebula'', inajulikana pia kwa majina kama M1, NGC 1952 au Taurus A) ni nebula katika [[Ng'ombe (kundinyota)|kundinyota ya Ng'ombe]]. Ni wingu la mabaki ya [[nyota nova]] iliyolipuka. Mlipuko wa nova ulitazamiwa kwenye mwaka [[1054]] na kurekodiwa na wanaastronomia Wachina walioona "nyota mpya" iliyoonekana angani wakati wa mchana. Ni kiolwa cha angani cha kwanza kilichoweza kutambuliwa kuwa na asili katika mlipuko wa nyota.
Nebula iko umbali wa miakanuru 6,500 kutoka Dunia. Nebula hii ina kipenyo cha [[parsek]] 3.4 au [[miakanuru]] 11. Inaendeleea kupanuka kwa kasi ya kilomita 1,500 kwa sekunde. Mwangaza unaoonekana ni mag. 8.4, hivyo haionekani kwa macho lakini inaweza kutambuliwa kwa kutumia darubini ndogo ya mkononi.
|