Nebula ya Kaa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:The Crab Nebula M1 Goran Nilsson & The Liverpool Telescope.jpg|thumb|Nebula ya Kaa ilivyo.]]
[[Picha:M1rosse.jpg|thumb|Nebula ya Kaa jinsi ilivyochorwa katika karne ya 19.]]
'''Nebula ya Kaa''' (ing.kwa [[Kiingereza]]: ''Crab Nebula'', inajulikana pia kwa [[Jina|majina]] kama M1, NGC 1952 au Taurus A) ni [[nebula]] katika [[Ng'ombe (kundinyota)|kundinyota yala Ng'ombe]]. Ni [[wingu]] la [[mabaki]] ya [[nyota nova]] iliyolipuka. [[Mlipuko]] wa nova ulitazamiwa kwenyeulitazamwa [[mwaka]] [[1054]] na kurekodiwa na [[wanaastronomia]] [[Wachina]] walioona "nyota mpya" iliyoonekana [[Anga|angani]] wakati wa [[mchana]]. Ni [[kiolwa cha angani]] cha kwanza kilichoweza kutambuliwa kuwa na [[asili]] katika mlipuko wa nyota.
 
Nebula iko [[umbali]] wa [[miakanuru]] 6,500 kutoka [[Dunia]]. Nebula hii ina [[kipenyo]] cha [[parsek]] 3.4 au [[miakanuru]] 11. Inaendeleea kupanuka kwa [[kasi]] ya [[kilomita]] 1,500 kwa [[sekunde]]. [[Mwangaza]] unaoonekana ni mag. 8.4, hivyo haionekani kwa [[macho]] lakini inaweza kutambuliwa kwa kutumia [[darubini]] ndogo ya [[Mkono|mkononi]].
 
Nebula ilitazamiwailitazamwa katika [[karne ya 18]] na wanaastronomia wa [[Ulaya]]; [[Charles Messier]] aliiorodhesha kama "No. 1" katika orodha yake. Mwaka [[1844]] ilitazamiwailitazamwa na [[Mwingereza]] Parsons kwa kutumia darubini kubwa akachora [[umbo]] lake aliloona ilifananainafanana na [[mnyama]] wa [[Kaa (mnyama)|kaa]]. Hapa ikoNdiyo [[asili]] ya jina "Nebula ya Kaa / Crab Nebula".
 
Katika miaka iliyofuata ilionekana umbo lilibadilika kiasi<ref>[https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC1084821/ John C. Duncan, Changes Observed in the Crab Nebula in Taurus], Proceedings of the National Academy of Sciences of the United States of America, 1921 Jun; 7(6): 179–180.1</ref>. Kwa kulinganisha [[picha]] za nebula iliwezekana kukadiria kasi ya upanuzi wake, hivyo kukadiria pia [[muda]] tangu mwanzo wa upanuzi wake. Muda huuhuo ulikadiriwa kuwa takriban miaka 900. Taarifa za kale kutoka China zilionyesha kwamba palekule nyota mpya ilitazamiwailitazamwa mnamo mwaka 1054, hivyo kwenye mwaka [[1928]] [[Edwin Hubble]] alipendekeza nebula nihiyo kuwa sawa na nyota ya 1054. Baada ya kuchungulia taarifa mbalimbali za kihistoria inaonekana nyota nova ilitokea wakati wa [[Aprili]] au [[Mei]] 1054 ikaendelea kung'aa hadi kufikia mag -7 mwezi wa [[Julai]]. Ilionekana kwa macho matupu kwa miaka miwili hivi. Baadaye mng'aro wake ulififia<ref>Collins, George W., II; Claspy, William P.; Martin, John C. (1999). "A Reinterpretation of Historical References to the Supernova of A.D. 1054". Publications of the Astronomical Society of the Pacific. 111 (761): 871–880. [https://iopscience.iop.org/article/10.1086/316401 online hapa]</ref>.
 
==Marejeo==
<references/>
{{mbegu-sayansi}}
 
[[jamii:Nyota]]