Umande : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|Tone la umande juu ya jani la mchikichi. thumb|Matone ya umande juu ya jani. '''Umande''' ni maji yaliyo kati...'
Tags: Mobile edit Mobile web edit
(Hakuna tofauti)

Pitio la 09:34, 6 Juni 2019

Umande ni maji yaliyo katika mfumo wa vijitone vionekanavyo juu ya vitu wakati wa asubuhi na jioni kutokana na utoneshaji.

Tone la umande juu ya jani la mchikichi.
Matone ya umande juu ya jani.