Vwawa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya 41.223.119.38 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni
Tag: Rollback
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 33:
Mji huu una wenyeji ambao ni [[Wanyiha]], [[Wandali]] na [[Wanyamwanga]] na baadhi ya [[Wanyakyusa]] wapatikanao katika maeneo ya masoko na [[Ndolezi]] wilayani Mbozi, lakini pia ma[[kabila]] mengine ambayo si asili katika wilaya ya Mbozi.
 
Mji huu una [[mitaa]] yake ambayo ni: Old Vwawa, Ilolo, Mwenge, Ichenjezya, Ilembo, Frolida, Mbimba Itemba, Mtambwe, Jim road, Isangu, Ichenjezya, Mbugani,Vwawa day na Vwawa daymasaki.
 
Mji huu umetoa [[wasomi]] wengi sana ambao ni [[chachu]] ya [[maendeleo]] kwa nchi ya Tanzania.