Tofauti kati ya marekesbisho "Binadamu"

660 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
d (Reverted 1 edit by 2600:387:6:807:0:0:0:7F (talk) to last revision by 154.73.106.218. (TW))
Tag: Undo
Vilevile, upimaji wa [[DNA ya mstari]] kwa jumla umeonyesha uwezekano wa kwamba baadhi ya binadamu wa leo, wale wasio wa kusini kwa [[Sahara]], wana asilimia 1-6 ya urithi wa kibiolojia kutoka kwa aina nyingine za homo, hususan [[Homo neanderthalensis]], ile ya [[pango la Denisova]] na ile iliyorithiwa na baadhi ya watu wa [[visiwa vya Andaman]] ([[India]]).
 
Kama hao waliweza kweli kuzaliana na [[Homo sapiens]] na kuacha uzao uliojiendeleza maana yake walikuwa [[spishi]] moja na yeye. Hapo asili ya binadamu inatakiwa kuhesabiwa ya zamani zaidi sana kuliko miaka 200,000 iliyofikiriwa kwanza<ref>Omo Kibish Formation and its neighboring sites in Ethiopia have produced some of the earliest examples of fossilised human and australopithecine remains and stone tools. [[Richard Leakey]]'s work there in 1967 found some of the oldest remains of primitive ''Homo sapiens''. Earlier believed to be around 125,000 years old, more recent research indicates they may in fact date to c.195,000 years ago. {{Cite news|url=https://www.sciencedaily.com/releases/2005/02/050223122209.htm|title=The Oldest Homo Sapiens: Fossils Push Human Emergence Back To 195,000 Years Ago|work=ScienceDaily|access-date=2018-04-13|language=en}}</ref>.
 
== Uenezi wa binadamu ==