Njiamzingo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Orbital motion.gif|thumb|200px|Obiti ya gimba dogo (kama satelaiti) linalozunguka gimba kubwa (kama duniaDunia); <br>kani ya velositi "'''v'''" inataka kulipeleka mbele mbali na mahali pake; kani ya graviti "'''a'''" inalivuta kuelekea gimba kubwa; tokeo lake ni obiti ya kuzunguka.]]
[[Picha:Newton Cannon.svg|300px|thumbnail|Mfano wa "Mzinga wa Newton"]]
'''Obiti''' (kutoka [[neno]] la [[Kiingereza]] ''orbit'' lenye [[asili]] ya [[Kilatini]] ''orbita'' "njia, mzunguko"; pia: '''njia mzingo''') ni njia inayotumiwa na [[gimba la angani]] linalozunguka gimba kubwa zaidi katika anga ya ulimwengu ilhali inashikwa na mvuto wa [[graviti]]. Mfano wake ni mwendo wa [[sayari]] inayozunguka [[jua]], au [[mwezi]] unaozunguka [[sayari]] yake, au [[satelaiti]] inayozunguka [[dunia]].