Global Positioning System : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Picha:ConstellationGPS.gif|thumb|Satelaiti za GPS zinazozunguka Dunia; rangi ya buluu inaonyesha kupatikana kwa satelaiti kwa kipokezi kwenye kaskazini y Duni...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:ConstellationGPS.gif|thumb|350px|Satelaiti za GPS zinazozunguka Dunia; rangi ya buluu inaonyesha kupatikana kwa satelaiti kwa kipokezi kwenye kaskazini y Dunia, rangi nyekundu inaonyesha satelaiti zinazopotea nyuma ya upeo ambako hazipokelewi tena na kipokezi ]]
'''Global Positioning System''' (kifupi: '''GPS''', kwa maana: '''Mfumo wa mwongozo kote duniani''') ni mfumo wa kupima na kutambua kimakini kila mahali duniani ukitumia [[satelaiti]].