Global Positioning System : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 3:
 
==Misingi==
[[Satelaiti]] kama 30 zinazunguka Dunia muda wote kwenye njia maalum katika [[anga-nje]] ya karibu. Zinakaa kilomita 20,000 - 25,000 juu ya uso wa ardhi na kutumia mnamo saa 12 kwa kuzunguka Dunia. Zinatuma muda wote ishara za redio duniani. Kipokezi duniani kinapokea ishara hizi. [[Majiranukta]] za mahali pa satelaiti hujulikana kwa kila dakika na kila sekunde, maana zinatembea kwenye njia thabiti. Kipokezi kikiwa na ishara redio za angalau satelaiti tatu kinaweza kukadiria majiranukta ya mahali pake penyewe kwa umakini. Kama kipokezi kinapata ishara ya satelaiti nyingi zaidi umakini huongezeka.
 
Hali halisi umakini wa GPS unategemea kifaa ulicho nacho. Kama si vizuri tofauti za mita 100 zinaweza kuonyeshwa. Matumizi katika mazingira ya majengo marefu, ndani ya majengo au penye milima mikali inaathiri umakini pia kwa sababu vizuizi hivi vinaweza kuzuia ishara ya satelaiti moja au zaidi.
 
Vifaa vya GPS havihitaji [[intaneti]] kwa sababu ishararedio za satelaiti zinapokelewa moja kwa moja. Hata hivyo vifaa vingi hutumia intaneti pia kwa kuborshakuboresha huduma.
 
==Mwongozo wa safari==