Global Positioning System : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 11:
==Mwongozo wa safari==
[[Picha:Mapas Digitales 2 (cropped).jpg|300px|thumb|Kifaa cha GPS kwenye gari kinaonyesha ramani pamoja na njia ya kuelekea]]
Vipokezi vya GPS vinapatikana katika [[simujanja]] na vifaa vingine vinavyotumiwa katika magari, eropleni na meli. Vifaa hivi ni kama kompyuta ndogo ambavyo vinatumia pia ramani ya nchi au Dunia pamoja na habari za barabara na hali zao. Kwa njia hii programu za GPS zinazounganishwa na kipokezi inawezahuonyesha mahali pa mtumiaji kwenye ramani. Inaweza kukadiria muda unahitajikaunaohitajika kufika kutoka mahali ulipo hadi mahali pengine ama kwa miguu au kwa gari kwa kutumia kasi ya wastani. Pale ambako ratiba za usafiri wa umma zinapatikana kifaa kinaonyesha pia muda wa usafiri kwa treni au basi. Ilhali majiranukta ya kifaa chenyewe kinajulikana muda wote, ni lazima kupata majiranukta za mahali unapolenga. Hapa mtumiaji anaweza kudokeza kwenye ramani anapoenda au kuingiza anwani kamili maana programu za GPS huwa na data nyingi zenye majina na majiranukta za barabara, mitaa na hata majengo maalumu.
 
==Mifumo mbalimbali ya GPS==