Titani (mwezi) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Titan Visible.jpg|right|thumb|Picha ya Titan iliyotumwa na [[Cassini-Huygens]].]]
'''Titan''' ([[Gir.]]: ''Τῑτάν'')<ref name="OxfordGreekDictionary">{{cite book|editor1=Morwood J|editor2=Taylor J.|title=Pocket Oxford Classical Greek Dictionary|page=365|publisher=Oxford University Press|date=2002|isbn=9780198605126}}</ref> ni mmoja ya miezi ya sayari [[Zohali]] (Saturnus) mwenye ukubwa wa sayari ndogo. [[Kipenyo]] chake kwenye [[ikweta]] ni kilomita 5,150&nbsp;km<ref name=NASAfact>{{cite web|title=NASA: Solar System Exploration: Planets: Saturn: Moons: Titan|url=http://solarsystem.nasa.gov/planets/profile.cfm?Object=Titan|author=Harvey, Samantha|accessdate=2011-03-13|publisher=NASA|date=2011-03-04}}</ref><ref name=cox>{{cite book|author1=Cox, Brian|author2=Cohen, Andrew|title=Wonders of the Solar System|date=2010|publisher=HarperCollins|page=94-95|isbn=9780007386901}}</ref><ref name=hiw>{{cite book|title=How it Works Book of Space|date=2010|publisher=Imagine Publishing|isbn=9781906078829|page=63}}</ref> na inatembea kwenye mzingo mwenye umbali wa kilomita 1,221,865&nbsp;km kutoka Zohali. <ref name=NASAfact /> Titan ilitambuliwa mwaka 1655 na mwanaastronomia [[Christiaan Huygens]] kwa kutumia noja ya [[darubini]] za kwanza iliyoboreshwa.
Titan ni mwezi mkubwa wa Zohali na mwezi mkubwa wa pili katika [[mfumo wa jua]] letu. Hata ni kubwa kuliko sayari [[Utaridi]]. Pamoja na dunia yetu ni mahali pa pekee penye [[angahewa]] nzito ya gesi. Lakini haifai kwa binadamu kwa sababu ni baridi sana na gesi zake ni [[nitrojeni]] pamoja na [[hidrokaboni]] kama [[methani]]. Pamoja na dunia yeti ni pia mahali pa pekee katika mfumo wa jua letu penye maziwa na mito lakini hii si ya maji bali na methani kiowevu.<ref>{{citeweb|url=http://www.nature.com/nature/journal/v445/n7123/abs/nature05438.html|title=The lakes of Titan
|publisher=Nature|accessdate=2011-03-13}}</ref><ref>{{cite web|author=Cox, Brian|url=http://www.bbc.co.uk/science/space/solarsystem/moons/titan_(moon)#p0070hxn|title=BBC: Science: Space: Solar System: Moons: Titan: Methane rain on Titan|format=Video|publisher=BBC|accessdate=2011-03-13}}</ref>