Unajimu : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Protected "Unajimu" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho) [Kuhamisha=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho)) |
No edit summary |
||
Mstari 12:
== Asili ya unajimu ==
[[Picha:Astro signs.svg|thumbnail|Alama kwa makundinyota 12 ya Zodiaki katika mapokeo ya Ulaya; zinadaiwa kuwa muhimu na kutawala tabia za watu kwenye horoskopi.]]▼
[[Picha:Arabic machine manuscript - zodiac - Anonym - Ms. or. fol. 3306.jpg|thumb|[[Zodiaki]] ya Kiarabu]]
Tangu mwanzo wa [[historia]] wanadamu katika sehemu mbalimbali za dunia walitazama nyota.
Line 27 ⟶ 29:
Kwa [[wazee]] hao ilionekana kama nyota fulani inatawala majira, hali ya hewa na hivyo maisha ya [[binadamu]] kwa sababu maisha ya [[jamii]] yalitegemea majira na mwendo wa mvua, [[ukame]], baridi au joto. Hapo ni [[asili]] ya kuziangalia nyota kama miungu au pepo wenye uwezo fulani. Hasa tabia ya hali ya hewa ya kuchelewa au kuwahi kidogo ilijenga imani ya kwamba kuchelewa kwa mvua ni [[dalili]] ya [[hasira]] ya [[mungu]] yule anayeonekana katika nyota fulani.
▲[[Picha:Astro signs.svg|thumbnail|Alama kwa makundinyota 12 ya Zodiaki katika mapokeo ya Ulaya; zinadaiwa kuwa muhimu na kutawala tabia za watu kwenye horoskopi.]]
== Horoskopi ==
Kati ya mbinu za unajimu zinazojulikana sana duniani ni [[horoskopi]].
|