Marumaru : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Protected "Marumaru" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho) [Kuhamisha=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho))
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Landscape marble skyline.jpg|225px|right|thumb|Uchoraji asilia waonekana kwenye uso wa marumaru iliyokatwa na kusuguliwa.]]
[[Picha:Venus_de_Milo_Louvre_Ma399-02b.jpg|thumb|120px|right|Sanamu ya marumaru yamwonesha [[Venus]], [[Miungu|mungu]] jike wa [[Roma ya Kale|Kiroma]].]]
'''Marumaru''' (pia: '''marmar''' - kutoka [[Kiarabu]] مرمر, ing. ''marble'') ni [[mwamba]] wa [[gange]] uliobadilika kutokana na [[joto]] na shindikizo ndani ya [[ganda la dunia]] katika kipindi cha miaka [[milioni]] kadhaa. [[Kemia|Kikemia]] ni hasa CaCO<sub>3</sub>.
 
Ni [[jiwe]] gumu sana linalopatikana katika [[rangi]] mbalimbali.