Kanumba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Steven Charles Kanumba alikuwa msanii wa maigizo na filamu kutoka nchini Tanzania. Katika historia ya tasnia ya filamu nchini Tanzania, Kanumba ndiye aliyekuwa...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 12:20, 9 Juni 2019

Steven Charles Kanumba alikuwa msanii wa maigizo na filamu kutoka nchini Tanzania. Katika historia ya tasnia ya filamu nchini Tanzania, Kanumba ndiye aliyekuwa msanii wa kwanza nchini kufanya kazi nje ya nchi na kuweza kuwavuta wageni kutoka nchi mbalimbali kuja kuigiza Tanzania. Wikipedia Kuzaliwa: 8 Januari 1984 Mahali alikozaliwa: Shinyanga Alifariki: 7 Aprili 2012, Dar es Salaam Kazi yake: Muigizaji, Mtunzi, Mtayarishaji, Muongozaji Ndugu: Seth Bosco Wazazi: Flora Mutegoa, Charles Kanumba