Luca Zidane : Tofauti kati ya masahihisho

Mchezaji mpira wa Ufaransa
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Luca Zinedine Zidane Fernández''' (alizaliwa Mei 13, 1998) ni mchezaji wa soka wa ufaransa ambaye anacheza kama kipa wa [[klabu]...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 12:56, 9 Juni 2019

Luca Zinedine Zidane Fernández (alizaliwa Mei 13, 1998) ni mchezaji wa soka wa ufaransa ambaye anacheza kama kipa wa klabu ya Real Madrid. Yeye ni mtoto wa mwana soka wa zamani na kwa sasa ni kocha wa Real Madrid ya huko hispania, Zinedine Zidane.