Pangea : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Pangaia ni neno la Kigiriki linalomaanisha "dunia yote, dunia nzima". Katika nadharia ya sayansi ya jiografia inamaanisha bara kubwa linaloaminiwa kuwa liliunga...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 13:04, 9 Juni 2019

Pangaia ni neno la Kigiriki linalomaanisha "dunia yote, dunia nzima". Katika nadharia ya sayansi ya jiografia inamaanisha bara kubwa linaloaminiwa kuwa liliunganisha bara zote za dunia takriban miaka milioni 250 iliyopita.