Majira ya baridi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 5:
Pengine baridi inakuwa kali sana na kuendana na [[barafuto]]: ndiyo maana maeneo mengine ya [[dunia]] hayana wakazi wa kudumu, hasa [[bara]] la [[Antaktiki]].
 
Yanafuata [[majira ya kupuputika majani]] (kwa Kiingereza "'''Fall"''' au "'''Autumn"''') na kutangulia [[majira ya kuchipua]] (kwa Kiingereza "'''Spring"''').
 
Majira hayo yanatokea [[duniani]] kwa nyakati tofauti kadiri eneo husika lilivyo [[kaskazini]] au [[kusini]] kwa [[ikweta]]. Hata katika nchi ileile, kwa mfano [[Kenya]], majira ni tofauti upande huu na upande huu wa ikweta.