Holly Marie Combs : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tengua pitio 1068003 lililoandikwa na CommonsDelinker (Majadiliano) file is restored
Tag: Undo
No edit summary
Mstari 13:
| mahusiano = {{Josh Cocktail}} (2012-current)
}}
'''Holly Marie Combs''' (amezaliwa tar. [[13 Desemba]], [[1973]])<ref>{{cite web|url=http://movies.msn.com/celebrities/celebrity-biography/holly-marie-combs/ |title=Holly Marie Combs: Biography |publisher=MSN Movies |accessdate=2012-07-16}}</ref> ni [[mwigizaji]] na matayarishaji wa vipindi vya [[televisheni]] kutoka nchini [[Marekani]].

Anafahamika zaidi kwa kucheza uhusika wa [[Piper Halliwell]] kwenye mfululizo wa TV uliokuwa unarushwa na [[The WB Television Network|The WB]], ''[[Charmed]]'' (1998–2006). Katikati mwa miaka ya 1990, Combs amecheza kama Kimberly Brock katika mfululizo wa TV uliokuwa unarushwa hewani na TV ya [[CBS]], ''[[Picket Fences]]'' (1992–1996), ambayo ilimpatia tuzo ya [[Young Artist Award]].<ref name="PF">{{cite web|url=http://www.imdb.com/name/nm0001061/awards|title=Holly Marie Combs&nbsp;— Awards|publisher=IMDb.com|accessdate=2007-04-05}}</ref><ref name="PF2">{{cite web|url=http://www.youngartistawards.org/pastnoms14.htm|title=Young Artist Award|publisher=youngartistawards.org|accessdate=2008-05-06}}</ref> Pia amepata kucheza katika filamu kama vile ''[[Sweet Hearts Dance]]'' (1988), ''[[Born on the Fourth of July (film)|Born on the Fourth of July]]'' (1989), ''[[Dr. Giggles]]'' (1992), ''[[Sins of Silence]]'' (1996), ''[[Daughters]]'' (1997) na ''[[Swearing Allegiance|Love's Deadly Triangle: The Texas Cadet Murder]]'' (1997). Combs kwa sasa anacheza kama nyota kwenye mfululizo wa TV unaorushwa hewani na TV ya "[[ABC Family]]", ''[[Pretty Little Liars (TV series)|Pretty Little Liars]]'' - kama Ella Montgomery.
 
===Filamu===