Visiwa vya Faroe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Protected "Visiwa vya Faroe" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho) [Kuhamisha=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho))
Mstari 65:
Kati ya miaka [[1035]] na [[1814]] visiwa vilikuwa chini ya Norwei. Ndipo vilipotolewa kwa [[Denmark]].
 
Kufikia mwanzo wa mwaka [[1540]] visiwawakazi vilikuwawalikuwa vimejiungawamejiunga na [[Matengenezo ya Kiprotestanti]] na kuwa [[Walutheri]].
 
Kuanzia [[mwaka]] [[1948]] ni jimbo la nje la [[ufalme]] wa Denmark lenye madaraka ya pekee ya kujitawala. Visiwa vinaendesha shughuli zao isipokuwa [[siasa]] ya nje, [[jeshi]] na mambo ya [[mahakama]] ni chini ya [[serikali kuu]]. Hali ya kisiasa ndani ya Denmark inalingana na [[Greenland]] ambayo pia ni jimbo la nje la Denmark linalojitawala kwa kiwango kikubwa.