Sekunde ya tao : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Protected "Sekunde ya tao" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho) [Kuhamisha=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho))
No edit summary
Mstari 1:
'''Sekunde ya tao''' ([[ing.]] [[:en:arc second|arc second]]) ni kipimo cha [[Pembe (jiometria)|pembe]]. Inataja sehemu ya 3600 ya [[nyuzi]] moja.
 
Sekunde 60 za tao zinalingana na [[Dakika ya tao|dakika moja ya tao]]. Dakika 60 za tao zinalingana na [[nyuzi]] moja. Nyuzi 360 ni sawa na [[duara]] kamili.
 
Kifupi chake ni '''arcsec''' au alama ya '''"'''.