Nyuzi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Positive angle.svg|thumb|250px|Pembe kali ya nyuzi 45°]]
'''Nyuzi''' (pia: '''digrii''' kutoka [[neno]] la [[Kiingereza]]) ni [[kizio]] cha kupimia [[Pembe (jiometria)|pembe]] . Msingi wake ni mzunguko kamili wa [[duara]] unaogawiwa kwa sehemu 360. Kwa kawaida nyuzi [[moja]] huandikwa kama '''1°'''.
 
[[Nusuduara]] ina 180°. [[Pembemraba]] ina 90°. Jumla ya pembe ndani ya [[pembetatu]] ni 180°, ndani ya [[mstatili]] ni 360°.
 
Nyuzi inaweza kugawiwa tena kwa [[dakika]] na [[sekunde ya tao]]. [[Dakika ya tao]] ni sehemu ya 60 na sekunde ya tao ni sehemu ya 3600 ya nyuzi moja.
 
== Historia ==
[[Asili]] ya [[hesabu]] hii huaminiwa kuwa katika [[Babeli]] ya Kale. Wababeli walihesabu [[mwaka]] kuwa na siku 360 na wakitazama [[nyota]] waliona ya kwamba kila [[siku]] zilihama takriban kiwango cha 1/360 cha duara.
 
Katika jiometria muundo huu ulielezwa kimsingi na mwana[[astronomia]] [[Hipparchos wa Nikaia]] ([[190 KK]]–[[120 KK]]).
 
Katika [[jiometria]] muundo huuhuo ulielezwa kimsingi na mwana[[astronomia]] [[Hipparchos wa Nikaia]] ([[190 KK]]–[[120 KK]]).
{{mbegu-hisabati}}
[[Jamii:Jiometria]]
[[Jamii:Vipimo]]