Gesi miminika : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Methanier aspher LNGRIVERS.jpg|300px|thumb|Meli za kubeba gesi miminika mara nyingu hutambuliwa kutokana na matangi ya mviringo ]]
[[File:Gesi miminika chanzo - mteja.png|thumb|300px|Njia ya gesi miminika kutoka chanzo hadi mteja]]
'''Gesi miminika''' (''[[ing.]] Liquefied Natural Gas LNG'') ni [[gesi asilia]] katika hali ya [[kiowevu]] au miminika. Ni dutu safi isiyo na rangi na isiyo na sumu,<ref>"[http://naturalgas.org/lng/ Focus on LNG]" ''Naturalgas.org'', iliangaliwa 2019</ref> inayotengenezwa kwa kupoza [[gesi asilia]] hadi nyuzi joto -160[[ºC]] hadi kiwango ambacho inakuwa kimiminika. Mchakato huu hurahisisha usafirishaji wenye ufanisi wa gesi asilia kwa kutumia aidha barabara (malori) au bahari (meli).<ref>"[https://lngfacts.org/about-lng/what-is-lng/ What is LNG]" ''Center for Liquified Natural Gas'', iliangaliwa Juni 2019</ref> Sababu kuu ya kupoza gesi ni, gesi miminika ina [[ujazo]] mdogo mara 600 kuliko gesi asilia ikiwa katika hali ya kawaida.<ref>"[http://www.naturalgas.org/lng/lng.asp Liquified Natural Gas (LNG]" ''NaturalGas.org'', retrieved 13 February 2012.</ref>
 
==Uzalishaji==