Mwari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Badiliko la sanduku la uainishaji
Nyongeza jina la Kiswahili
Mstari 22:
* ''[[Pelecanus thagus|P. thagus]]'' <small>[[Juan Ignacio Molina|Molina]], 1782</small>
}}
'''Wari''' (pia '''miari''' au '''wali''') au '''wemdambize''' ni [[ndege (mnyama)|ndege]] wakubwa wa maji wa [[jenasi]] ''[[Pelecanus]]'', jenasi pekee ya [[familia (biolojia)|familia]] [[Pelecanidae]], wenye domo kubwa na rangi nyeupe au kijivu. Ndege hawa huvua samaki kwa kundimakundi. Domo lao la chini ni ngozi inayoweza kunyoka na kuumba mfuko ili kuuwekea samaki kwa kitambo. Jike huyataga [[yai|mayai]] mawili ardhini au kwa tago la [[tete|matete]] na matawi kati ya matete, juu ya [[mti]] mrefu au juu ya mwamba wa bahari.
 
== Spishi za Afrika ==