Usoshalisti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'upright|thumb|150px|[[Stempu ya Umoja wa Kisovyeti iliyomkumbusha Kwame Nkrumah, rais wa kwanza wa Ghana, aliyependekeza...'
 
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 1:
[[File:1989 CPA 6101.jpg|upright|thumb|150px|[[Stempu]] ya [[Umoja wa Kisovyeti]] iliyomkumbusha [[Kwame Nkrumah]], rais wa kwanza wa [[Ghana]], aliyependekeza [[usoshalisti wa Kiafrika]].]]
[[File:New Harmony, Indiana, por F. Bates.jpg|upright|thumb|150px]]
'''Usoshalisti''' ni [[nadharia]] ambayo inahusu [[siasa]] na [[uchumi]] na kutaka [[njia kuu za uchumi]] ziwe na manufaa kwa [[jamii]] nzima; ili kuhakikisha hilo, inataka zimilikiwe na [[umma]], [[dola]] au [[taifa]].