Tofauti kati ya marekesbisho "Usoshalisti"

1 byte added ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Zilitokea aina nyingi za usoshalisti, kila moja ikiwa ya namna yake. Muhimu zaidi ni ile ya [[Karl Marx]] ([[1818]]-[[1883]]) aliyedai [[ukomunisti]] kuwa njia pekee ya kuleta [[haki]] na [[usawa]].
 
Upande wa [[Afrika]], mojawapo ni "[[Ujamaa]]" ambao ulipendekezwa na [[Julius Kambarage Nyerere]] ([[1922]]-[[1999]]), [[rais]] wa kwanza wa [[Tanzania]], na ulipitishwa katika [[TamkoAzimio la Arusha]].
 
==Marejeo==