Skype : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
marekebisho madogo ya Kisarufi
Mstari 1:
[[Picha:Skype logo (fully transparent).svg|alt=Nembo ya Skype|right|frameless|267x267px|Nembo ya Skype]]
'''Skype (/ skaɪp /)''' ni [[programu]] ambayo inayotumiainatumia [[intaneti]] kupiga [[simu]] za sauti na [[video]] (kwa [[teknolojia]] inayoitwa ''Voice over Internet Protocol (VoIP)''. Skype huwezesha watumiaji kutuma ujumbe wa maneno, video, sauti, picha na kufanya mikutano kwa video.
 
Iliundwa mwaka [[2003]] na [[Mswidi]] na [[Mdenmark]] [[Niklas Zennström]] na [[Janus Friis]] wakishirikiana na [[Ahti Heinla]], [[Priit Kasesalu]], [[Jaan Tallinn]], na [[Waestonia]], na kwa sasa inaendeshwa na [[kampuni]] ya huko [[Luxemburg]] inayoitwa ''Skype Technologies SARL'', ambayo tangu [[2011]] ni sehemu ya [[Microsoft]].
 
Kuanzia Septemba [[2005]] hadi [[2011]], Skype ilikuwa inamilikiwa na [[eBay]]. eBay iliinunua kwa dola za Kimarekani bilioni 2.6.<ref>{{cite web|title=EBay to buy Skype in $2.6bn deal|url=http://news.bbc.co.uk/1/hi/business/4237338.stm|publisher=BBC|accessdate=2 October 2014|author=|date=12 September 2005}}</ref> <ref>{{cite web|author=|url=https://www.thestar.com/business/2009/09/02/canada_pension_plan_buys_skype_stake.html |title=Canada Pension plan buys Skype stake &#124; Toronto Star |publisher=Thestar.com |date=2 September 2014 |accessdate=21 August 2014}}</ref>
 
Neno Skype linatokana na "Sky peer-to-peer" ambapo ilifupishwa kuwa "Skyper". Hata hivyo, anuani ya tovuti yenye jina hili ilikuwa tayari imenunuliwa na kampuni nyingine.<ref>{{cite web|url=http://www.eplanetventures.com/en/news/releases/pr_013006_1.html|title=The World's Hottest VC?|archiveurl=https://web.archive.org/web/20080109184710/http://www.eplanetventures.com/en/news/releases/pr_013006_1.html|archivedate=9 January 2008|deadurl=yes|df=dmy-all}}</ref> hivyo herufu "r" iliondolewa na kuwa Skype.<ref name="nameorigin">{{cite web|url=http://share.skype.com/blog/insight/origin_of_the_name%10word_%22skype%22/|title=Origin of the name/word Skype|archiveurl=https://web.archive.org/web/20051104064354/http://share.skype.com/blog/insight/origin_of_the_name%10word_%22skype%22/|archivedate=4 November 2005|deadurl=yes|accessdate=13 August 2010|df=dmy-all}}</ref>