Usoshalisti : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[File:1989 CPA 6101.jpg|upright|thumb|150px|[[Stempu]] ya [[Umoja wa Kisovyeti]] iliyomkumbusha [[Kwame Nkrumah]], rais wa kwanza wa [[Ghana]], aliyependekeza [[usoshalisti wa Kiafrika]].]]
[[File:New Harmony, Indiana, por F. Bates.jpg|upright|thumb|200px|Wazo la
'''Usoshalisti''' ni [[nadharia]] ambayo inahusu [[siasa]] na [[uchumi]] na kutaka [[njia kuu za uchumi]] ziwe na manufaa kwa [[jamii]] nzima; ili kuhakikisha hilo, inataka zimilikiwe na [[umma]], [[dola]] au [[taifa]].
Chanzo cha nadharia hiyo ni mwishoni mwa [[karne ya 18]] kutokana na [[Vita ya uhuru wa Marekani|Vita vya uhuru wa Marekani]] na hasa [[Mapinduzi ya Kifaransa]].
Zilitokea aina nyingi za usoshalisti, kila moja ikiwa ya namna yake. Muhimu zaidi ni ile ya [[Karl Marx]] ([[1818]]-[[1883]]) aliyedai [[ukomunisti]] kuwa njia pekee ya kuleta [[haki]] na [[usawa]].
|