SEO : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ' '''SEO''' (kwa kifupi toka neno la Kiingereza '''Search engine optimization''') ni utaratibu wa kuongeza ubora na wingi wa watembeleaji wa tovuti kwa kuongeza...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''SEO''' (kwa [[kifupi]] tokacha neno[[Neno|maneno]] laya [[Kiingereza]]: '''Search engine optimization''') ni utaratibu wa kuongeza [[ubora]] na wingi wa watembeleaji wa [[tovuti]] kwa kuongeza upatikanaji wa tovuti au [[ukurasa]] wa tovuti kwa watumiaji wa tovuti za kutafuta kurasa na habari mtandaoni.<ref>{{Cite web|url=https://www.webopedia.com/TERM/S/SEO.html|title=SEO - search engine optimization|last=|first=|date=|website=Webopedia|archive-url=|archive-date=|dead-url=}}</ref><br> Utaratibu huuhuo unajumuisha tu uboreshaji usiotumia malipo ya matangazo.
 
SEO inawexa kulenga tovuti za kutafuta za aina mbalimbali kama vile utafutaji wa [[picha]], utafutaji wa [[video]], [[Jarida|majarida]] ya kitaaluma, <ref name="aseo">{{cite web|url=https://www.sciplore.org/publications/2010-ASEO--preprint.pdf|title=Academic Search Engine Optimization (ASEO): Optimizing Scholarly Literature for Google Scholar and Co.|author=Beel, Jöran and Gipp, Bela and Wilde, Erik|first=|date=|year=2010|website=|publisher=Journal of Scholarly Publishing|pages=176–190|archive-url=|archive-date=|dead-url=|accessdate=April 18, 2010}}</ref> utafutaji wa habari na utafutaji wa kisekta.
 
Uboreshaji wa tovuti unaweza kujumuisha kuhariri habari zilizomo kwenye tovuti hiyo, kuboresha [[HTML]] na mbinu nyingine nyingi.<ref>[https://www.primal.co.th/seo/seo-hacks/ "SEO Hacks" June 14, 2019.]</ref> Baadhi ya mbinu zinakubalika na tovuti za kutafuta ile mbinu nyingine huonekana kuwa ni za ulaghai.<ref>[https://www.webopedia.com/TERM/B/Black_Hat_SEO.html "What is Blackhat SEO?" June 14, 2019.]</ref> Kufikia Mei 2015, utafutaji kwa kutumia simu za mkononi ulipita ule wa kutumia kompyuta.<ref>[https://adwords.blogspot.com/2015/05/building-for-next-moment.html "Inside AdWords: Building for the next moment" ''Google Inside Adwords'' May 15, 2015.]</ref>
'''SEO''' (kwa kifupi toka neno la Kiingereza '''Search engine optimization''') ni utaratibu wa kuongeza ubora na wingi wa watembeleaji wa tovuti kwa kuongeza upatikanaji wa tovuti au ukurasa wa tovuti kwa watumiaji wa tovuti za kutafuta kurasa na habari mtandaoni.<ref>{{Cite web|url=https://www.webopedia.com/TERM/S/SEO.html|title=SEO - search engine optimization|last=|first=|date=|website=Webopedia|archive-url=|archive-date=|dead-url=}}</ref><br> Utaratibu huu unajumuisha tu uboreshaji usiotumia malipo ya matangazo.
 
Kufikia [[Mei]] [[2015]], utafutaji kwa kutumia [[simu za mkononi]] ulipiku ule wa kutumia [[kompyuta]].<ref>[https://adwords.blogspot.com/2015/05/building-for-next-moment.html "Inside AdWords: Building for the next moment" ''Google Inside Adwords'' May 15, 2015.]</ref>
SEO inawexa kulenga tovuti za kutafuta za aina mbalimbali kama vile utafutaji wa picha, utafutaji wa video, majarida ya kitaaluma, <ref name="aseo">{{cite web|url=https://www.sciplore.org/publications/2010-ASEO--preprint.pdf|title=Academic Search Engine Optimization (ASEO): Optimizing Scholarly Literature for Google Scholar and Co.|author=Beel, Jöran and Gipp, Bela and Wilde, Erik|first=|date=|year=2010|website=|publisher=Journal of Scholarly Publishing|pages=176–190|archive-url=|archive-date=|dead-url=|accessdate=April 18, 2010}}</ref> utafutaji wa habari na utafutaji wa kisekta.
 
Kama mbinu ya kujitangaza mtandaoni, SEO inatazama jinsi tovuti za kutafuta zinavyofanya kazi, [[algorithm]] zinazoonyesha [[tabia]] za tovuti za kutafuta, maneno yanatotumiwa na watafutaji, n.k.
Uboreshaji wa tovuti unaweza kujumuisha kuhariri habari zilizomo kwenye tovuti hiyo, kuboresha [[HTML]] na mbinu nyingine nyingi.<ref>[https://www.primal.co.th/seo/seo-hacks/ "SEO Hacks" June 14, 2019.]</ref> Baadhi ya mbinu zinakubalika na tovuti za kutafuta ile mbinu nyingine huonekana kuwa ni za ulaghai.<ref>[https://www.webopedia.com/TERM/B/Black_Hat_SEO.html "What is Blackhat SEO?" June 14, 2019.]</ref> Kufikia Mei 2015, utafutaji kwa kutumia simu za mkononi ulipita ule wa kutumia kompyuta.<ref>[https://adwords.blogspot.com/2015/05/building-for-next-moment.html "Inside AdWords: Building for the next moment" ''Google Inside Adwords'' May 15, 2015.]</ref>
 
Kama mbinu ya kujitangaza mtandaoni, SEO inatazama jinsi tovuti za kutafuta zinavyofanya kazi, [[algorithm]] zinazoonyesha tabia za tovuti za kutafuta, maneno yanatotumiwa na watafutaji, n.k.
 
== Historia ==
Waangalizi wa tovuti na watoa habari walianza kuboresha tovuti kwa njia hiihiyo toka katikati ya [[1990]]. Mwanzoni, waangalizi wa tovuti walitakiwa kutuma anuani[[anwani]] za tovuti zao kwa tovuti za kutafuta.<ref>{{cite web | url=http://www.thinkpink.com/bp/Thesis/Thesis.pdf| format =PDF | title=Finding What People Want: Experiences with the WebCrawler|accessdate=May 7, 2007| publisher=The Second International WWW Conference Chicago, USA, October 17–20, 1994|author=Brian Pinkerton}}</ref>
 
== Marejeo ==
Mstari 25:
 
{{Mbegu}}
[[Jamii:Kifupi]]
[[Jamii:Intaneti]]