Sudan Kusini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 187:
 
== Idadi ya Watu ==
Inakubaliwa na wengi kuwa kabila kubwa zaidi Sudan Kusini ni [[DinkaWadinka]] (15%), ikifuatiwa na [[NuerWanuer]] (10%) kisha [[BariWabari]], [[AzandeWaazande]], [[ShillukWashilluk]]. Makabila mengine ni [[AcholiWaacholi]], [[MurleWamurle]], [[NubiWanubi]], [[KukuWakuku]], [[FunjWafunj]], [[MabanWamaban]], [[ZandiWazandi]], [[OdukWaoduk]] na mengineyo.
 
==== Sensa ya Tano ya Watu na Makazi ya Sudan (2008) ====
Mstari 204:
 
Hata hivyo harakati hii ilikashifiwa kwani iliziacha nje nchi zenye idadi kubwa ya watu kutoka Sudan Kusini, na badala yake kuhesabu nchi ambapo idadi hii ilikuwa ndogo<ref>{{citenews|url=http://www.rnw.nl/africa/article/south-sudan-claims-northern-sudans-census-dishonest|title=South Sudan says Northern Sudan's census dishonest|work=Radio Nederland Wereldomroep|date=6 Novemba 2009}}</ref>.
 
Kadirio la mwaka [[2016]] ni kwamba wakazi ni 12,230,730<ref>"World Population Prospects: The 2017 Revision". ESA.UN.org (custom data acquired via website). United Nations Department of Economic and Social Affairs, Population Division. Retrieved 10 September 2017.</ref>.
 
=== Lugha ===
Sudan Kusini inajumuisha zaidi ya makabila 200 yakizungumza [[lugha]] 60 zinazopatikana hasa katika Sudan ya Kusini na lugha nyingine kutoka nchi jirani za Kenya, Ethiopia, Uganda, Kongo, Sudan (Khartoum) na nyingine (angalia [[Orodha ya lugha za Sudan Kusini]]).
 
[[Lugha rasmi]] ni [[Kiingereza]], pamoja na kutambulika kwa lugha mbalimbali za mitaa katika majimbo au miji. [[Kiswahili]] kinapangiwa kuenezwa nchini, hasa baada ya Sudan Kusini kujiunga na Jumuia ya Afrika Mashariki.