Nyeusi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '250px|thumb|[[Puto juu ya theluji: Puto haiakisii nuru hivyo inaonekana nyeusi; theluji chini yake inaakisi sehem...'
 
No edit summary
Mstari 6:
Kifizikia gimba lolote huonekana jeusi, kama haliakisii nuru hata kidogo.
 
Nyeusi ni rangi na makaa, ya usiku na ya giza. Kinyume chake ni [[nyeupe]].
 
Katika tamaduni mbalimbali imepewa maana tofauti; mara nyingi ya huzuni (kama watu wanaofiwa wanaaa mavazi meusi). Katika uamaduni wa Ulaya ilikuwa pia rangi ya mamlaka na heshima kwa hiyo majaji na wachungaji wanaweza kuvaa gauni nyeusi, pia wanaume kuvaa suti nyeusi kwa nafasi maalumu.