Mfumo wa mmeng'enyo wa chakula : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
]]
'''Mfumo wa Mmeng'enyo wa Chakula''' (pia: '''mwanya wa chakula'''<ref>Mwanya wa chakula na Mwanya wa umeng'enyaji ni mapendekezo ya [[KyT]]</ref>) ni jumla ya [[viungo]] [[Mwili|mwilini]] mwa [[binadamu]] na [[mamalia]] wengine vinavyofanya [[kazi]] ya kuingiza [[chakula]] mwilini, kukisagasaga, kukisafirisha ndani ya mwili, kukimeng'enya, kuondoa [[lishe]] ya mwili ndani yake, na kuondoa mabaki nje ya mwili. Kwa hiyo mfumo wa mmeng'enyo wa chakula ni njia yote kuanzia [[mdomo]] hadi [[mkundu]].
 
Magonjwa yake huchunguliwa na [[gastro-enterolojia|elimu ya gastro-enterolojia]].
 
Kwa [[lugha]] nyingine unahusika na umeng'enyaji wa [[chakula]] mpaka kuwa katika hali inayoweza kusharabiwa na mwili. Ili chakula kiweze kutumika mwilini, ni lazima kivunjwevunjwe kiwe katika hali rahisi ya kuweza kusharabiwa. Kazi hiyo hufanywa na mfumo wa mmeng’enyo wa chakula. Mfumo wa mmeng’enyo wa chakula wa mwanadamu hufanana na ule wa [[sungura]], [[panya]] au [[pimbi]]. Sehemu kuu zinazohusika katika umeng’enyaji huo ni [[kinywa]], [[umio]], [[mfuko wa tumbo]], [[ini]], [[mfuko wa nyongo]], [[utumbo mwembamba]], [[kongosho]], [[utumbo mpana]] na [[puru]].