Mchwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
→‎Usumbufu wa mchwa: kutengua - kuna tofauti kati ya mchwa (termite) na siafu (ant); marejereo yaliowekwa ni ya siafu sio mchwa
→‎Usumbufu wa mchwa: kuchangua mada - usubufu wa mchwa
Mstari 42:
 
== Usumbufu wa mchwa ==
Hata hivyo, watu wengi huona mchwa kama wasumbufu haswa anapoishi karibu na majengo ya watu. Mchwa hula [[mbao]] na kwa hiyo huharibu [[mlango|milango]], [[samani]] na [[boriti|maboriti]] ya [[nyumba]]. Kwa wale wanaoishi ndani ya mbao na kula vifaa vya mbao nyumbani huleta pia tatizo la uchafu kutokana na kinyesi chao.<ref>[https://pestsguide.com/termites/termite-droppings-in-your-house/ Kuhusu kinyesi cha mchwa]</ref> Kwa hiyo, watu wengi hutafuta madawa ya kuua wadudu hawa au njia zingine asili za kuwadhibiti kama vile utumizi wa udongo ''Diatomaceous'' au mafuta ya kitunguu saumu zainazoadhiri wadudu<ref>{{Cite web|url=https://pestsguide.com/termites/get-rid-of-termites-forever|title=How to Get Rid of Termites: A Comprehensive Guide (2019)|author=Ambru|date=2018-11-24|language=en-US|work=PestsGuide|accessdate=2019-06-17}}</ref>. Wanaofanya taaluma hiyo kwanza huangalia mchwa ni wa aina gani ili aweze kujua amejificha wapi maana wao hujifinya pahala kwingi.