Mfumo wa mmeng'enyo wa chakula : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
Tafsiri: [[utumbo mwembamba]] (''small intestine''), [[utumbo mpana]] (''large intestine''), [[ini]] (''liver''), [[kongosho]] (''pancrease''), [[ulimi]] (''tongue''), [[tumbo]] (''stomach''), [[tezi za mate]] (''salivary glands''), [[umio]] (''esophagus''), [[puru]] (''rectum''), [[mkundu]] (''anus'')
]]
'''Mfumo wa Mmengmmeng'enyo wa Chakulachakula''' (pia: '''mwanya wa chakula'''<ref>Mwanya wa chakula na Mwanya wa umeng'enyaji ni mapendekezo ya [[KyT]]</ref>) ni jumla ya [[viungo]] [[Mwili|mwilini]] mwa [[binadamu]] na [[mamalia]] wengine vinavyofanya [[kazi]] ya kuingiza [[chakula]] mwilini, kukisagasaga, kukisafirisha ndani ya mwili, kukimeng'enya, kuondoa [[lishe]] ya mwili ndani yake, na kuondoakutoa mabaki nje ya mwili. Kwa hiyo mfumo wa mmeng'enyo wa chakula ni njia yote kuanzia [[mdomo]] hadi [[mkundu]].
 
[[Magonjwa]] yake huchunguliwahuchunguzwa na [[gastro-enterolojia|elimu ya gastro-enterolojia]].
 
Kwa [[lugha]] nyingine unahusika na umeng'enyaji wa [[chakula]] mpaka kuwa katika hali inayoweza kusharabiwa na mwili. Ili chakula kiweze kutumika mwilini, ni lazima kivunjwevunjwe kiwe katika hali rahisi ya kuweza kusharabiwa. Kazi hiyo hufanywa na mfumo wa mmeng’enyo wa chakula. Mfumo wa mmeng’enyo wa chakula wa mwanadamu hufanana na ule wa [[sungura]], [[panya]] au [[pimbi]]. Sehemu kuu zinazohusika katika umeng’enyaji huo ni [[kinywa]], [[umio]], [[mfuko wa tumbo]], [[ini]], [[mfuko wa nyongo]], [[utumbo mwembamba]], [[kongosho]], [[utumbo mpana]] na [[puru]].
Mstari 10:
Chakula kinaposafiri katika njia yake hufanyiwa mabadiliko ya [[Umbo|kiumbo]] na ya [[Kemikali|kikemikali]]. Kila sehemu ya mfumo wa mmeng’enyo wa chakula ina kazi maalum. Chakula cha [[mnyama]] au binadamu huweza kuwa cha [[kabohaidreti]]/[[wanga]], [[protini]], [[mafuta (chakula)|mafuta]] au mchanganyiko wa viambato hivyo. Myeyuko wa makundi hayo ya vyakula hutokea katika sehemu mbalimbali za [[njia ya chakula]] kwa njia za kemikali.
 
== Mmeng’enyo Kinywanikinywani ==
[[Kinywa]] ni sehemu ya kwanza kupokea chakula. Chakula kinapokuwa [[Mdomo|mdomoni]] huvunjwavunjwa na kusagwa na [[meno]] au kwa lugha nyingine husagwa [[Makanika|kimekanika]]. [[Mate]] husaidia kukilainisha. [[Ulimi]] husaidia kugeuzageuza chakula hicho na kukiviringisha kuwa tonge.
 
Mstari 31:
 
=== Asidi ya haidrokloriki ===
Asidi ya haidrokloriki (HCLHCl) husaidia kufanya mambo yafuatayo tumboni:
* Husaidia kuweka [[mazingira]] ya asidi ili vimeng’enya vya tumbo viweze kufanya kazi. Vimeng’enya vya tumboni hufanya umeng’enyaji kwa ufanisi katika hali ya uasidi.
* Huvunja [[sukari tata]] (complex sugar) kuwa [[sukari]] rahisi.