Tofauti kati ya marekesbisho "Wikipedia:Mwongozo (Kuhariri)"

no edit summary
(+kiungo husika)
Tag: 2017 source edit
{{Wikipedia:Tutorial/TabsHeader|This=2}}
<div style="border:2px solid #A3B1BF; padding:.5em 1em 1em 1em; border-top:none; background-color:#fff; color:#000">
[[Picha:Hariri-ukurasa-huu.PNG|350px|right|Bonyeza "hariri chanzo" kubadili makala]]
Ukurasa huu unaeleza hali ya kihariri cha kawaida (wiki-text-editor). Kwa kutumia '''kihariri oneshi''' (VisualEditor) bofya '''[[Kihariri oneshi|hapa]]''' (ukiona maandishi mekundu, haikuandaliwa bado).
 
Unaweza kuhariri kila ukurasa katika wikipedia yaani kusahihisha, kuongeza habari, kuziondoa au kuzibadilisha. Karibu kila ukurasa una kiungo kinachosema "'''''hariri'''''", ambacho kinakupatia nafasi ya kubadilisha ukurasa unaotazama. ''(Kurasa chache [[Wikipedia:Makala zinazolindwa|zinalindwa]] hazina nafasi hii.)''