Wikipedia:Mwongozo (Kuhariri) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tag: 2017 source edit
No edit summary
Tag: 2017 source edit
Mstari 4:
Ukurasa huu unaeleza hali ya kihariri cha kawaida (wiki-text-editor). Kwa kutumia '''kihariri oneshi''' (VisualEditor) bofya '''[[Kihariri oneshi|hapa]]''' (ukiona maandishi mekundu, haikuandaliwa bado).
 
Unaweza kuhariri kila ukurasa katika wikipedia yaani kusahihisha, kuongeza habari, kuziondoa au kuzibadilisha. Karibu kila ukurasa una kiungo kinachosema "'''''hariri chanzo'''''", ambacho kinakupatia nafasi ya kubadilisha ukurasa unaotazama. ''(Kurasa chache [[Wikipedia:Makala zinazolindwa|zinalindwa]] hazina nafasi hii.)''
 
Hiki ni kipengele muhimu sana cha Wikipedia, na wote wanaruhusiwa kuhariri. Iwapo unaongeza habari fulani kwenye makala, [[Wikipedia:Mwongozo (Kutaja vyanzo)|tafadhali weka marejeo]], kwa sababu habari zisizo na uthibitisho kuna uwezekano mkubwa wa kuondolewa. Pia ni ushauri mwema kwamba kutafuta majadiliano kwenye ukurasa wamajadiliano kama unataka kuleta mabadiliko makubwa hasa ukiona mwandishi aliyetangulia alikosea na wewe unatarajia kuleta habari za kinyume. Kujadiliana kwanza inasaidia kuepukana na [[wikipedia:Vita ya uhariri|vita ya uhariri]].
 
Nenda kwa [[Wikipedia:Mwongozo (Kuhariri)/sanduku la mchanga|sanduku la mchanga]] na ubonyeze kiungo cha "''hariri chanzo''". Hii itafungua dirisha la kuhariria lililo na maandishi ya ukurasa huu. Weka kitu cha kujifurahisha au "Salam ulimwengu!", halafu '''Hifadhi kurasa''' na tazama nini ulichofanya! Kuwa mwangalifu kuhakikisha kwamba una hariri ukurasa wa sanduku la mchanga, na siyo maandishi ya ukurasa huu wa mwongozo.
 
==Onyesha hakikisho==