Ajira : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 4:
Kuna aina kadhaa za ajira zikiwemo:
* Ajira ya kudumu - ''(permanent employment)'' ni ajira ambayo mwajiriwa hana woga wa kuachishwa au kuacha kazi ila tu anapo[[pigwa kalamu]] kwa sababu ya makosa yake, afikishapo miaka ya [[kustaafu]] au kuacha kazi kwa [[hiari]] yake. Waajiriwa wa kudumu hufuata [[ratiba]] fulani na wanaweza kuwa [[wafanyakazi]] wa [[mchana]] kutwa ''(full time employment)'' au wa masaa machache ''(part-time employee).''<ref>{{Cite web|url=https://www.smallbusiness.wa.gov.au/business-advice/employing-staff/types-of-employment|title=Types of employment {{!}} Small Business|author=Small Business Development Corporation|language=en|work=Small Business Development Corporation website|accessdate=2018-07-18}}</ref>
* Ajira ya [[mkataba]] - ''(contract employment)'' hii ni ajira ambayo mwajiriwa huajiriwa kufanya kazi fulani au kwa muda fulani na muda wake au kazi yake ishapo mkataba wake na mwajiri unaisha. Mwajiriwa wa mkataba hukwahuwa na uhakika, hawezi kuachishwa kazi kabla mkataba wake uishe, ila tu afanye makosa yasiyo weza kuvumiliwa. Pia yeye hawezi acha ile kazi kwa hiari bila kugharamia hasara yote inayoweza kutokana na kuvuja ule mkataba.
* Ajira ya muda - ''(temporary employment)''<ref>{{Cite web|url=https://getvested.io/temp-agency/|title=Vested Technology - Temp Staffing Solutions|language=en-US|work=Vested Technology|accessdate=2018-07-18}}</ref> ni ajira ambayo mwajiriwa hufuata ratiba ya wafanyakazi wa kudumu lakini anaweza akaachishwa kazi wakati wowote. Mwajiriwa hana usalama wa kazi. [[Kibarua]] ni mfano wa ajira ya muda; ni ajira isiyo ya mara kwa mara na mtu huajiriwa tu kazi ipatikanapo na kazi ikiisha anaenda zake bila kujua kazi ingine itapatikana lini.
* Ajira ya binafsi - ''(self employment)'' ni ajira ambayo mtu hujiajiri yeye mwenyewe kama vile [[wafanyabiashara]].