Mchwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 26:
* Termopsidae
}}
'''Mchwa''' ni [[wadudu]] wadogo wa [[oda ya chini]] [[Isoptera]] katika [[oda]] [[Blattodea]] wanaoishi kwa [[Koloni|makoloni]] makubwa katika [[kichuguu|vichuguu]]. Kuna aina ya mchwa ambao huishi ndani ya [[mbao]] au [[miti]]. Takriban [[spishi]] zote hula [[ubao]].
 
Kila [[koloni]] lina [[malkia (mdudu)|malkia]], [[mfalme (mdudu)|mfalme]], [[askari (mdudu)|askari]] na [[wafanyakazi (mdudu)|wafanyakazi]]. Askari na wafanyakazi hawana [[mabawa]] lakini malkia na mfalme waliwahi kuwa na mabawa walipokuwa [[vijana]]. Mfalme anamtia malkia [[mimbambegu]] na huyu anazaa [[yai|mayai]] mengi sana. Askari wanalinda kichuguu na wafanyakazi wanafanya kazi nyingine zote.
 
Mara kwa mara wafanyakazi wanawapatia majana kadhaa [[chakula]] fulani ili wawe wadudu wanaoweza kuzaa. Wadudu hawa wana mabawa na huitwa [[kumbikumbi]].<ref>{{Cite web|url=https://pestsguide.com/termites/termite-larvae|title=Termite Larvae – What Does Baby Termite Look Like?|date=2018-11-24|language=en-US|work=PestsGuide|accessdate=2019-02-13}}</ref>
 
[[Utafiti]] wa hivi karibuni waonyesha mchwa, hasa mchwa wa [[Jangwa]] la [[Sahara]], kuwa ndiye [[mnyama]] anayestahimili [[joto]] zaidi. Spishi hii ya mchwa inaweza kustahimili joto hadi [[nyuzi]] 55.1.<ref>{{Cite web|url=http://www.bbc.com/earth/story/20141008-record-breaking-ant-takes-the-heat|title=The ant that is the hottest insect in the world|author=Nic Fleming|language=en|work=www.bbc.com|accessdate=2019-02-13}}</ref>
 
== Bidii na umoja ==
Mdudu huyu huishi kwa kushirikiana na kutangamana. Yeye halali kabla hajatafuta [[chakula]] cha kutosha na cha kuweka [[akiba]].
Mchwa wametumika katika hadithi nyingi za kitoto ili kufunza maadili ya bidii na umoja. Kwa kawaida, mchwa hukaa wote pamoja katika koloni.
 
MchwaHivyo mchwa wametumika katika [[hadithi]] nyingi za kitoto ili kufunza [[maadili]] ya bidii na [[umoja]]. Kwa kawaida, mchwa hukaa wote pamoja katika koloni.
Katika maandiko ya [[Biblia]] ya Kikristo katika kitabu cha Methali, Wakristo wameombwa waige mchwa katika utendakazi na umoja. Mdudu huyu huishi kwa kushirikiana na kutangamana. Yeye halali kabla atafute chakula cha kutosha na cha kuweka akiba. Katika kitabu kitakatifu cha Waislamu cha [[Kurani]], Sulayman alisikia mchwa akiwaonya wengine warudi nyumbani wasije wakapondwapondwa.
 
[[Mwandishi]] [[Aesop]] pia aliandika kuhusu bidii ya mchwa katika hadithi yake 'The Ant and the Grasshopper'.
 
Katika [[maandiko]] ya [[Biblia]] ([[kitabu cha Methali]]), waumini wameombwa waige mchwa katika utendakazi na umoja.
== Usumbufu wa mchwa ==
Hata hivyo, watu wengi huona mchwa kama wasumbufu haswa anapoishi karibu na majengo ya watu. Mchwa hula [[mbao]] na kwa hiyo huharibu [[mlango|milango]], [[samani]] na [[boriti|maboriti]] ya [[nyumba]].<ref>[http://www.buildinginspectionsadelaide.com.au/timber-pest-inspections-necessary-buying-house/ Timber pests]</ref> Kwa wale wanaoishi ndani ya mbao na kula vifaa vya mbao nyumbani huleta pia tatizo la uchafu kutokana na kinyesi chao.<ref>[https://pestsguide.com/termites/termite-droppings-in-your-house/ Kuhusu kinyesi cha mchwa]</ref> Kwa hiyo, watu wengi hutafuta madawa ya kuua wadudu hawa au njia zingine asili za kuwadhibiti kama vile utumizi wa udongo ''Diatomaceous'' au mafuta ya [[kitunguu saumu]] zinazoadhiri wadudu<ref>{{Cite web|url=https://pestsguide.com/termites/get-rid-of-termites-forever|title=How to Get Rid of Termites: A Comprehensive Guide (2019)|author=Ambru|date=2018-11-24|language=en-US|work=PestsGuide|accessdate=2019-06-17}}</ref>. Wanaofanya taaluma hiyo kwanza huangalia mchwa ni wa aina gani ili aweze kujua amejificha wapi maana wao hujifinya pahala kwingi.
 
Katika [[kitabu]] kitakatifu cha [[Waislamu]] cha [[Kurani]], [[Sulemani]] alisikia mchwa akiwaonya wengine warudi nyumbani wasije wakapondwapondwa.
 
== Usumbufu wa mchwa ==
Hata hivyo, watu wengi huona mchwa kama wasumbufu, haswa anapoishi karibu na [[Jengo|majengo]] ya watu. Mchwa hula [[mbao]] na kwa hiyo huharibu [[mlango|milango]], [[samani]] na [[boriti|maboriti]] ya [[nyumba]].<ref>[http://www.buildinginspectionsadelaide.com.au/timber-pest-inspections-necessary-buying-house/ Timber pests]</ref>
 
Hata hivyo, watu wengi huona mchwa kama wasumbufu haswa anapoishi karibu na majengo ya watu. Mchwa hula [[mbao]] na kwa hiyo huharibu [[mlango|milango]], [[samani]] na [[boriti|maboriti]] ya [[nyumba]].<ref>[http://www.buildinginspectionsadelaide.com.au/timber-pest-inspections-necessary-buying-house/ Timber pests]</ref> Kwa waleWale wanaoishi ndani ya mbao na kula vifaa vya mbao nyumbani huleta pia tatizo la [[uchafu]] kutokana na [[kinyesi]] chao.<ref>[https://pestsguide.com/termites/termite-droppings-in-your-house/ Kuhusu kinyesi cha mchwa]</ref> Kwa hiyo, watu wengi hutafuta madawa[[dawa]] yaza kuua wadudu hawa au njia zinginenyingine asili za kuwadhibiti kama vile utumizi wa [[udongo]] ''Diatomaceous'' au [[mafuta]] ya [[kitunguu saumu]] zinazoadhirizinazoathiri wadudu<ref>{{Cite web|url=https://pestsguide.com/termites/get-rid-of-termites-forever|title=How to Get Rid of Termites: A Comprehensive Guide (2019)|author=Ambru|date=2018-11-24|language=en-US|work=PestsGuide|accessdate=2019-06-17}}</ref>. Wanaofanya taaluma hiyo kwanza huangalia mchwa ni wa aina gani ili aweze kujua amejificha wapi maana wao hujifinya pahala kwingi.
 
Wanaofanya [[taaluma]] hiyo kwanza huangalia mchwa ni wa aina gani ili waweze kujua amejificha wapi maana wao hujifinya pahala kwingi.
 
==Spishi kadhaa za Afrika==