Utendi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Utendi''' (pia: '''utenzi''') ni aina ya [[ushairi]] na [[tanzu]] mojawapo ya [[fasihi simulizi]]. Kwa kawaida, utendi husimulia maisha na matendo ya mhusika [[shujaa]] au wa [[kisasili|visasili]]. [[Ulaya]], kuna tendi kama ''wimbo wa [[Troya]]'', ''wimbo wa [[Odisei]]'' na wimbo wa kabila la ''[[Nibelungi]]''; na [[India]] kuna ''wimbo wa [[Mahabharata]]'', [[Afrika]] kuna ''wimbo wa [[Sundiata]]'' na ''wimbo wa [[Oduduwa]]. Hizo zote mara nyingi hudondolewa kama mifano ya utendi. Siku hizi hata [[riwaya]] au filamu, hasa kama ni ndefu sana pamoja na wahusika wengi au nyakati nyingi, huitwa utendi.
 
Katika matumizi ya Wakristo wanaotumia Kiswahili tahajia ya "utenzi" inataja hasa nyimbo za kiroho.