Utendi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Utendi''' (pia: '''utenzi''') ni aina ya [[ushairi]] na [[tanzu]] mojawapo ya [[fasihi simulizi]]. Kwa kawaida, utendi husimulia [[maisha]] na matendo ya mhusika [[shujaa]] au wa [[kisasili|visasili]]. [[Ulaya]], kuna tendi kama ''wimbo wa [[Troya]]'', ''wimbo wa [[Odisei]]'' na wimbo wa kabila la ''[[Nibelungi]]''; [[India]] kuna ''wimbo wa [[Mahabharata]]'', [[Afrika]] kuna [[Utendi wa Sundiata]] na ''wimbo wa [[Oduduwa]]. Hizo zote mara nyingi hudondolewa kama mifano ya utendi. Siku hizi hata [[riwaya]] au filamu, hasa kama ni ndefu sana pamoja na wahusika wengi au nyakati nyingi, huitwa utendi.
 
Maarufu katika [[fasihi]] ya [[Ulaya]], kuna tendi kama ''wimbo wa [[Troya]]'', ''wimbo wa [[Odisei]]'' na wimbo wa [[kabila]] la ''[[Nibelungi]]''; [[India]] kuna ''wimbo wa [[Mahabharata]]''; [[Afrika]] kuna ''wimbo wa [[Sundiata]]'' na ''wimbo wa [[Oduduwa]]''. Hizo zote mara nyingi hudondolewa kama mifano ya utendi.
Katika matumizi ya Wakristo wanaotumia Kiswahili tahajia ya "utenzi" inataja hasa nyimbo za kiroho.
 
Siku hizi hata [[riwaya]] au [[filamu]], hasa kama ni ndefu sana pamoja na [[wahusika]] wengi au nyakati nyingi, huitwa utendi.
 
Katika matumizi yaKwa [[Wakristo]] wanaotumia [[Kiswahili]] [[tahajia ya]] "utenzi" inataja hasa nyimbo za kiroho.
{{mbegu-lugha}}
[[Category:Fasihi]]