Tofauti kati ya marekesbisho "Utendi"

1 byte added ,  miezi 9 iliyopita
no edit summary
'''Utendi''' (pia: '''utenzi''') ni aina ya [[ushairi]] na [[tanzu]] mojawapo ya [[fasihi simulizi]]. Kwa kawaida, utendi husimulia [[maisha]] na matendo ya mhusika [[shujaa]] au wa [[kisasili|visasili]].
 
Maarufu katika [[fasihi]] ya [[Ulaya]], kuna tendi kama ''wimbo wa [[Troya]]'', ''wimbo wa [[Odisei]]'' na wimbo wa [[kabila]] la ''[[Nibelungi]]''; [[India]] kuna ''wimbo wa [[Mahabharata]]''; [[Afrika]] kuna ''wimbo[[utendi wa [[Sundiata]]'' na ''wimbo wa [[Oduduwa]]''. Hizo zote mara nyingi hudondolewa kama mifano ya utendi.
 
Siku hizi hata [[riwaya]] au [[filamu]], hasa kama ni ndefu sana pamoja na [[wahusika]] wengi au nyakati nyingi, huitwa utendi.