Tofauti kati ya marekesbisho "Utendi"

493 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
'''Utendi''' (pia: '''utenzi'''; kutoka [[kitenzi]] "kutenda") ni aina ya [[ushairi]] na [[tanzu]] mojawapo ya [[fasihi simulizi]]. Kwa kawaida, utendi husimulia [[maisha]] na matendo ya mhusika [[shujaa]] au wa [[kisasili|visasili]].
 
Maarufu katika [[fasihi]] ya [[Ulaya]], kuna tendi kama ''wimbo wa [[Troya]]'', ''wimbo wa [[Odisei]]'' na wimbo wa [[kabila]] la ''[[Nibelungi]]''; [[India]] kuna ''wimbo wa [[Mahabharata]]''; [[Afrika]] kuna ''[[utendi wa Sundiata]]'' na ''wimbo wa [[Oduduwa]]''. Hizo zote mara nyingi hudondolewa kama mifano ya utendi.
 
Kwa [[Wakristo]] wanaotumia [[Kiswahili]] [[tahajia]] "utenzi" inataja hasa nyimbo za kiroho.
 
==Tenzi za Kiswahili==
* [[Utenzi wa Tambuka]] (kazi ya [[Bwana Mwengu]], [[karne ya 18]]
* [[Utenzi wa Shufaka]] (mtunzi na wakati hawajulikani)
* [[Utenzi wa Mwana Kupona]] (kazi ya [[Mwana Kupona]], [[karne ya 19]])
 
== Tanbihi ==
<references />
 
==Marejeo==
* Jan Knappert (1967), ''Traditional Swahili Poetry: An Investigation into the Concepts of East African Islam as Reflected in the Utenzi Literature''. Brill, [[Leida]].
 
{{mbegu-lugha}}
[[Category:Fasihi]]
[[Jamii:Fasihi ya Kiswahili]]