Utendi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Utendi''' (pia: '''utenzi'''; kutoka [[kitenzi]] "kutenda") ni aina ya [[ushairi]] na [[tanzu]] mojawapo ya [[fasihi simulizi]]. Kwa kawaida, utendi husimulia [[maisha]] na matendo ya mhusika [[shujaa]] au wa [[kisasili|visasili]]<ref>Knappert (1967)</ref>.
 
Maarufu katika [[fasihi]] ya [[Ulaya]], kuna tendi kama ''wimbo wa [[Troya]]'', ''wimbo wa [[Odisei]]'' na wimbo wa [[kabila]] la ''[[Nibelungi]]''; [[India]] kuna ''wimbo wa [[Mahabharata]]''; [[Afrika]] kuna ''[[utendi wa Sundiata]]'' na ''wimbo wa [[Oduduwa]]''. Hizo zote mara nyingi hudondolewa kama mifano ya utendi.
Mstari 7:
Kwa [[Wakristo]] wanaotumia [[Kiswahili]] [[tahajia]] "utenzi" inataja hasa nyimbo za kiroho.
 
==Tenzi maarufu za Kiswahili==
* [[Utenzi wa Tambuka]] ([[kazi]] ya [[Bwana Mwengu]], [[karne ya 18]]
* [[Utenzi wa Shufaka]] ([[mtunzi]] na [[wakati]] hawajulikani)
* [[Utenzi wa Mwana Kupona]] (kazi ya [[Mwana Kupona]], [[karne ya 19]])