Uvuvi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
→‎Viungo vya nje: marekebisho madogo na kuchangia mada
Mstari 2:
'''Uvuvi''' ni [[kazi]] ya kukamata [[samaki]] ndani ya maji na kuwaweka nje yake, lakini pia [[ufugaji|kufuga]] samaki na [[wanyama]] wengine wa [[Maji|majini]].
 
Kusudi lake ni hasa kupata [[chakula]] ([[kitoweo]]) na mudawatu mwinginewengine hufanywa kama [[biashara]] ili kujipatia [[kipato]]. Tena sikuSiku hizi uvuvipia unatokeawatu piahushiriki uvuvi kama [[burudani]], katika [[utalii]] na kama sehemu ya [[michezo]].
 
Uvuvi ni kati ya shughuli za kale kabisa za [[binadamu]] na katika [[uchumi]] wa nchi nyingi huhesabiwa katikakati sektaya zasekta msingi pamoja na [[kilimo]] na [[uchimbaji wa madini]]. Kutokana na takwimu za [[FAO]] kuna watu [[milioni]] 38 [[duniani]] wanaofanya kazi ya kuvua au kufuga samaki na hivyo husaidia kukuza uchumi wa nchi fulani. Pamoja na wanaosafirisha windo wanaofanya kazi [[viwanda|viwandani]], na wanao uza [[Soko|masokoni]], [[duka|madukani]] na [[hoteli|hotelini]] kuna zaidi ya watu [[milioni]] 500 wanaokimu [[maisha]] yao kutokana na sekta hii ya uvuvi. <ref>ftp://ftp.fao.org/FI/brochure/climate_change/policy_brief.pdf Fish (including shellfish) provides essential nutrition for 3 billion people and at least 50%
 
Pamoja na wengine wanaosafirisha windo na kulifanyia kazi [[viwanda|viwandani]] au kuliuza [[Soko|masokoni]], [[duka|madukani]] au kwenye [[hoteli]] kuna zaidi ya watu [[milioni]] 500 wanaokimu [[maisha]] yao kutokana na sekta hii ya uvuvi. <ref>ftp://ftp.fao.org/FI/brochure/climate_change/policy_brief.pdf Fish (including shellfish) provides essential nutrition for 3 billion people and at least 50%
of animal protein and minerals to 400 million people in the poorest countries.
• Over 500 million people in developing countries depend, directly or indirectly, on fisheries and aquaculture for their livelihoods. • Aquaculture is the world’s fastest growing food production system, growing at 7% annually. • Fish products are among the most widely traded foods, with more than 37% by volume of world production traded internationally. </ref>
 
Uvuvi hufanywa penye magimba ya maji kama vile [[bahari]], [[ziwa|maziwa]], [[mito]] au [[mabwawa]]. Mara nyingi wavuvi hutumia chombo cha kusafiria majini kama [[boti]] lakini wengine wanakaa ufukoni na kuvua kutoka nchi kavu.
 
Line 22 ⟶ 20:
 
==Viungo vya nje==
* [https://slopehound.com/ice-fishing-with-lights/ Makala kuhusu matumizi ya mwangaza katika uvuvi na faida yake hasa sehemu zinazoadhiriwa na theluji]
{{commonscat|Fishing}}