Virusi vya kompyuta : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
{{refimprove|date=June 2019}}
[[File:Virus Blaster.jpg|thumb|Worm aina ya Blaster ilitumika kutuma ujumbe huu kwa mwanzilishi wa kampuni ya [[Microsoft]] [[Bill Gates]]]]
'''Virusi vya KompyutaKkmpyuta''' ni [[programu]] haramu yenye uwezo wa kujisambaza ndani ya [[kompyuta]] na kujiingiza ndani ya programu halali zinazotakiwa kufanya [[kazi]] mle. Ikisambaa inaathiri programu halali na kusababisha hasara. [[Virusi]] vinasambaa kwa njia ya [[intaneti]] lakini pia kwa njia ya [[sidii]] au diski yoyote ya kubebea [[data]] kati ya kompyuta tofauti. Virusi vinaweza kuharibu [[faili|mafaili]] na kupunguza uwezo na kasi wywa ufanyaji kazi wa kompyuta yako.
 
'''Virusi vya Kompyuta''' ni programu haramu yenye uwezo wa kujisambaza ndani ya kompyuta na kujiingiza ndani ya programu halali zinazotakiwa kufanya kazi mle. Ikisambaa inaathiri programu halali na kusababisha hasara. Virusi vinasambaa kwa njia ya [[intaneti]] lakini pia kwa njia ya [[sidii]] au diski yoyote ya kubebea data kati ya kompyuta. Virusi vinaweza kuharibu mafaili na kupunguza uwezo na kasi wy ufanyaji kazi wa kompyuta yako.
 
== Historia ==
Programu za virusi zilianzishwa tangu mwanzo wa kompyuta vyenyewezenyewe. [[Wanahisabati]] maarufu kama [[John von Neumann]] walikadiria [[nadharia]] ya programu zenye uwezo wa kujiendeleza na hata kujisambaza peke yaoyake tangu [[miaka ya 1950]]. Tangu kupatikana kwa kompyuta ndogo za nyumbani, imeonekana ya kwamba programu za aina hii zinaweza kuleta hasara mbalimbali. Mara nyingi programu (c)Brain hutajwa kama kirusi cha kwanza kilichosambaa kwenye kompyuta ndogo tangu mwaka 1986. Usambazaji wake ulikuwa kosa la watungaji wake waliotaka kukinga diski za programu halali waliyouza dhidi ya kopi haramu; waliandika namba ya simu yao ndani ya virusi.
 
Tangu kupatikana kwa kompyuta ndogo za nyumbani, imeonekana ya kwamba programu za aina hiyo zinaweza kuleta hasara mbalimbali. Mara nyingi programu (c)Brain hutajwa kama kirusi cha kwanza kilichosambaa kwenye kompyuta ndogo tangu [[mwaka]] [[1986]]. Usambazaji wake ulikuwa kosa la watungaji wake waliotaka kukinga diski za programu halali waliyouza dhidi ya [[nakala]] haramu; waliandika [[namba]] ya [[simu]] yao ndani ya virusi.

Tangu kupatikana kwa intaneti kuna watu maelfu ya watu ambao wametunga programu za virusi kwa kusudi mbalimbali; mara nyingi ni [[vijana]] wanaotaka kujaribu uwezo wao wa kuandika programu za aina hiihiyo. Wengine wanakusudia mzaha tu wakitaka kuona mafanikio yao kwenye kompyuta za [[dunia]] yote. Kuna wengine wenye [[hasira]] dhidi ya [[kampuni]] kubwa kama [[Microsoft]], dhidi ya [[benki]], dhidi ya [[serikali]] au dhidi ya [[binadamu]] kwa jumla. Hao ni hatari zaidi wakijitahidi kusababisha hasara kubwa. Wengine hufuata kusudi za kisiasa wakilenga kwa kompyuta za [[lugha]] au nchi fulani hasa. Virusi vingi vina malengo ya [[jinai|kijinai]] kwa sababu watungaji wao wanajaribu kupata [[faida]] ya kifedha kwa njia ya [[utapeli]] wakijaribu kuiba maneno ya siri kutoka kompyuta ya watu yanayomruhusu mtumiaji kuwasiliana na benki na kutuma fedha kwa [[akaunti]] nyingine.
 
== Hatari za kutumia kompyuta nyingi ==
[[Mtandao]] wa intaneti unaruhusu [[Milioni|mamilioni]] ya watumiaji wa kompyuta duniani kuungana pamoja kibiasharakwa [[biashara]] na hata kwa kujifurahisha. Watu wengi tofauti hutumia intaneti. Yeyote anayetumia Intanetiintaneti anaweza kupata [[habari]] nyingi kuhusu mada tofauti, tena kwa lugha tofauti, yaani, katika kipindi kidogo sana.
 
Intaneti inawezesha mtu mmoja kuharibu au kupunguza uwezo wa mamilioni ya kompyuta ambazo zimeunganishwa nazo. Wanaweza kufanya hivi kwa kuandika program za kompyuta. Au, wanaweza kuzifanya kompyuta zijiweke taarifa za kipuuzi ambazo zinasabisha kompyuta iache kufanya kazi. Iwapo sio mwangalifu, basi unaweza kusababisha kompyuta iache kufanya kazi.
 
== Hasara kubwa zilizosababishwa na "worm" ==
Mnamo tar.[[Tarehe]] [[24 Januari]] [[2003]], aina ya virusi cha kompyuta kiitwacho "'''worm'''" kilitolewa ili kuathiri Intaneti. Worm ni mfululizo wa maelekezo ya kompyuta ambayo yanajiweka nakala nyingi-nyingi yenyewe na kuzituma kwa kompyuta nyingine.
 
Huyu worm ametuma nakala kibao zake mwenyewe kwenye kompyuta nyingine kupitia Intaneti. Huyo worm ameharibu mamilioni kadhaa ya kompyuta duniani. Imepunguza uwezo wa makompyuta kibao kupitia mitandao ya kompyuta.
Line 31 ⟶ 32:
 
== Marejeo ==
{{reflist}}
 
==Viungo vya nje==
* {{dmoz|Computers/Security/Malicious_Software/Viruses/|Viruses}}
Line 50 ⟶ 53:
* [https://myhacker.net/2017/09/virus-writing/ Basic Virus Guide]
[[Jamii:Kompyuta]]
[[Jamii:Virusi vya kompyuta]]