Homer : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Picha
Mstari 1:
[[Picha:Homer British Museum.jpg|thumb|right|Sanamu hii ya Homer inapatkana katika makumbusho ya Kiingereza London; ni mwigo wa Kiroma wa mfano wa Kigiriki]]
[[File:William-Adolphe Bouguereau (1825-1905) - Homer and his Guide (1874).jpg|thumb|upright=1|Homer (William Bouguereau, 1874)]]
 
'''Homeri''' (pia: Homer; kwa [[Kigiriki]]:''' Ὅμηρος''' ''homeros'') ni [[jina]] la [[mshairi]] mashuhuri kabisa wa [[Ugiriki ya Kale]]. [[Mashairi]] makubwa yanayosimulia [[vita]] vya [[Troya]] ([[Ilias]]) na misafara ya [[mfalme]] [[Odiseo]] ([[Odisei|Utenzi wa Odisei]]) yamehifadhiwa kama [[kazi]] zake.