Virusi vya kompyuta : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
[[File:Virus Blaster.jpg|thumb|Worm aina ya Blaster ilitumika kutuma [[ujumbe]] huu kwa [[mwanzilishi]] wa kampuni ya [[Microsoft]], [[Bill Gates]].]]
'''Virusi za kompyuta''' (ing. ''computer virus'') ni [[programu]] haramu zenye uwezo wa kujisambaza ndani ya [[kompyuta]] na kujiingiza ndani ya programu halali zinazotakiwa kufanya [[kazi]] mle. Ikisambaa inaathiri programu halali na kusababisha hasara. [[Virusi]] zinasambaa kwa njia ya [[intaneti]] lakini pia kwa njia ya [[sidii]] au diski yoyote ya kubebea [[data]] kati ya kompyuta tofauti. Virusi zinaweza kuharibu [[faili|mafaili]] na kupunguza uwezo na kasi wa ufanyaji kazi wa kompyuta.
 
==Jina==
Jina la [[virusi]] linatokana na neno la Kilatini "virus" linalomaanisha kiasili "sumu". Kwa kawaida hutumiwa kwa vyembe vidogo vinavyoundwa na mada jenetiki vyenye uwezo vya kujiingiza katika [[seli|seli za mwili]] ambako zinasambaa na mara nyingi kusababisha magonjwa. Matumizi ya jina hili kwa programu haribifu za kompyuta hurejelea namna yao ya kusambaa na kusababisha uharibifu.
 
Wasemaji wengi wa Kiswahili husikia ni neno la ngeli ya ki-,vi- wakipenda kutumia lugha ya "virusi vya, virusi vingi" lakini haimaanishi uwingi na hapa inatumiwa kama ngeli ya i-,zi-<ref>Matumizi ni sawa na maneno mengine ya asili ya Kilatini yaliyofika kwenye Kiswahili kupitia Kiingereza kama vile "video" na "visa" (kibali cha kuingia nchini) </ref>.
 
== Historia ==