Tofauti kati ya marekesbisho "Haki za binadamu"

5 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
d (Bot: Migrating 103 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q8458 (translate me))
'''Haki za binadamu''' ni wazo la kuwa kila mtu anastahili [[haki]] kadhaa si kwa kutegemea [[cheo]], wala [[taifa]], wala [[tabaka]], wala [[jinsia]], wala [[dini]] kwa sababu tu yeye amezaliwa [[binadamu]].
 
Haki hizi zimeorodheshwa hasa katika [[Tangazo kilimwenguAzimio la ulimwengu juu ya haki za binadamu]] lililotolewa na [[Umoja wa Mataifa]] mwaka [[1948]]. Tamko la UM lilikuwa kamilisho la majadiliano kuhusu haki hizi yaliyoendelea kwa [[karne]] kadhaa.
 
Hoja la kimsingi ni kwamba, "Watu wote wamezaliwa huru; [[hadhi]] na haki zao ni sawa. Wote wamejaliwa [[akili]] na [[dhamiri]], hivyo yawapasa watendeane kindugu". (Kifungu 1 cha tangazo la 1948).