Shambulio la 11 Septemba 2001 : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Protected "Shambulio la 11 Septemba 2001" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho) [Kuhamisha=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho))
→‎Matokeo ya maafa hayo: marekebisho na mchango
Mstari 12:
 
== Matokeo ya maafa hayo ==
Jumla ya abiria 246 na magaidi 19 waliokuwa wasafiri katika dege zote 4 waliuawa wakati wa shambulizi hizo (dege American Airlines 11 - abiria 87<ref>{{Cite web|url=http://edition.cnn.com/SPECIALS/2001/memorial/lists/by-location/page100.html|title=CNN.com - September 11 Memorial|work=edition.cnn.com|accessdate=2019-06-25}}</ref> na magaidi 5, United Airlines 175 - abiria 60 na magaidi 5<ref>{{Cite web|url=http://edition.cnn.com/SPECIALS/2001/memorial/lists/by-location/page100.html|title=CNN.com - September 11 Memorial|work=edition.cnn.com|accessdate=2019-06-25}}</ref>, American Airlines 77- abiria 59 na magaidi 5<ref>{{Cite web|url=http://edition.cnn.com/SPECIALS/2001/memorial/lists/by-location/page96.html|title=CNN.com - September 11 Memorial|work=edition.cnn.com|accessdate=2019-06-25}}</ref>, na dege United Airlines 93- abiria 40 na magaidi 4<ref>{{Cite web|url=http://old.post-gazette.com/headlines/20011028flt93mainstoryp7.asp|title=Flight 93: Forty lives, one destiny|work=old.post-gazette.com|accessdate=2019-06-25}}</ref>). Minara yote miwili ya jengo la World Trade Center yalipamba moto baada ya shambulio. Mnara wa Kusini (yaani WTC 2) liliungua kwa muda wa dakika 56 kabla ya kuanguka na kuangamia kabisa.
Jumla ya watu waliokufa katika shambulio hilo ni 246. Magaidi 19 waliuawa wakati wa shambulio hilo. Minara yote miwili ya jengo la World Trade Center yalipamba moto baada ya shambulio. Mnara wa Kusini (yaani WTC 2) liliungua kwa muda wa dakika 56 kbla ya kuanguka na kuangamia kabisa.
 
Jengo la Kaskazini (WTC 1) liliungua kwa muda wa dakikar 102 nalo pia lilianguka. Kama jengo la WTC lilivyoanguka, sehemu na mmong'onyoko wa jengo hilo lilipelekea majengo mengine yaliyoyazunguka majengo hayo kushika moto na kuharibika pia. Kutokaa na uharibifu uliotokea, jengo la tatu la 7 World Trade Center (7 WTC), nalo likaanguka mnamo saa 5:20 jioni. Baadahi ya mamjengo mengine yaliharibiwa vibaya na hata kuangamia kabisa yaani.
Mstari 20:
Ndege iliyogonga Pentagon iligonga chini mwa upande wa Magharibi mwa jengo hilo. Kisha ikagonga mpaka katika nguzo tano zinazoshikiria jengo hilo la Pentagon. Shambulio hilo Pentagon liliuwa watu 125.
 
WatuTakriban watu 2,973 walikufa katika shambulio hilo, wakiwemo watuwazima watumoto 343, wanapolisi wa zimaNew motoYork 23, na wanapolisi wa mamlaka ya bandari 37 waliokuwa wakijaribu kuokoa maisha ya baadhi ya watu waliopatwa na balaa hilo.
 
Hili lilikuwa ndiondilo shambulio kubwa la kwanza kwa watu ambao wasio [[Marekani|Waamerika]] kushambulia nchini humo tangu mnamo mwaka wa [[1941]], pale [[Ujapani|Wajapani]] waliposhambulia kituo cha jeshi la maji kilichopo katika Bandari ya Pearl, Hawaii. Dhana nyingi zilikuwa zikionekana kwamba kuna watu katika [[Marekani]] walikuwa wakijuawaliojua kwamba kutatokea na tukio kama hilo kabla na ni lini itakuwasiku hivyoliatatendeka.
 
== Vita dhidi ya ugaidi ==