Divock Origi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
dNo edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 2:
'''Divock Okoth Origi''' (alizaliwa [[18 Aprili]] [[1995]]) ni [[mchezaji]] wa [[soka]] wa [[Ubelgiji]] ambaye anacheza kama [[mshambuliaji]] wa [[klabu]] ya [[Liverpool FC]] na [[timu ya taifa]] ya Ubelgiji.
 
Origi ni mchezaji wa Ubelgiji mwenye [[asili]] ya [[Kenya]]: ni [[mtoto]] wa mchezaji wa [[zamani]] wa kitaifa wa Kenya [[Mike Origi] ambeye ni Wa kijamii ya wakisii ].
 
Origi alianza kazi yake ya kucheza mpira wa miguu katika [[akademia]] ya vijana wa [[Genk]] ambako alitumia miaka tisa na baadae kusaini [[Lille]] [[2010]], akiwa na umri wa miaka 19 alikataa maombi ya kusaini [[mkataba]] na [[Manchester United F.C.|Manchester United]] juu ya sababu zisizojulikana.
Mstari 10:
{{mbegu-cheza-mpira}}
 
[[Jamii:Waliozaliwa 1995Waliozali1995]]
[[Jamii:Watu walio hai]]
[[Jamii:Wachezaji mpira wa Ubelgiji]]