Divock Origi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
dNo edit summary Tags: Mobile edit Mobile web edit |
Added content Tags: Mobile edit Mobile web edit |
||
Mstari 2:
'''Divock Okoth Origi''' (alizaliwa [[18 Aprili]] [[1995]]) ni [[mchezaji]] wa [[soka]] wa [[Ubelgiji]] ambaye anacheza kama [[mshambuliaji]] wa [[klabu]] ya [[Liverpool FC]] na [[timu ya taifa]] ya Ubelgiji.
Origi ni mchezaji wa Ubelgiji mwenye [[asili]] ya [[Kenya]]: ni [[mtoto]] wa mchezaji wa [[zamani]] wa kitaifa wa Kenya [[Mike Origi
Origi alianza kazi yake ya kucheza mpira wa miguu katika [[akademia]] ya vijana wa [[Genk]] ambako alitumia miaka tisa na baadae kusaini [[Lille]] [[2010]], akiwa na umri wa miaka 19 alikataa maombi ya kusaini [[mkataba]] na [[Manchester United F.C.|Manchester United]] juu ya sababu zisizojulikana.
|